Download | Play Now

May C toka Arusha ndani ya Eatv Friday Night

Kwa waliokosa kuchek FNL (Friday Night Live) tarehe 20,check out May C aka MayChedda’s interview HAPA akitambulisha official video ya wimbo wake, “Rudgalz” na kuzungumzia changamoto  katika muziki na pia mipango yake mipya katika sanaa. Pia Download audio ya Rudgalz HAPA

MayChedda EATV interview http://youtu.be/qx_I2cHvQAk
MayChedda-Rudgalz http://goo.gl/fGdDPI

Facebook page https://www.facebook.com/pages/Maychedda/413286952096178?hc_location=timeline