Home Uncategorized AUDIO | Uhuru – Ujumbe & Nembo ya Machungu

AUDIO | Uhuru – Ujumbe & Nembo ya Machungu

Ikiwa kazi zinazotambulisha ujio wa mixtape ya Mc Uhuru toka BombBlast
Crew Arusha pamoja na project ya Tshirt zake, pata ngoma mbili kwa
mpigo, “Ujumbe” pamoja na “Nembo ya Machungu
zilizopikiwa Bongo Records chini ya Q the Don download HAPA na kwa
mawasiliano/Mahojiano kuhusu projects za Uhuru Na Bomb Blast kwa ujumla
piga simu +255 713 118 152 au +255 0658 585 155 powered by www.vmgafrica.com


Previous articleAUDIO | Dully Sykes ft. Nikki Mbishi & Stereo – Eneo La Tukio | Download
Next articleAUDIO | AMA G – ALOLE | Download