Home Uncategorized AUDIO | Dayna – Naumia | Download

AUDIO | Dayna – Naumia | Download [Unaosemekana uliibwa na Diamond na kuuita “Number one”]

Huu ndio wimbo wa  Dayna ambao Diamond ameiba bit na melody na kuuita namba one.
Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy,
Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba
wangefanya wote. Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na kumwambia ile
bit ampe na aachane na kazi ya Dayna.

Previous articleNEW MUSIC | SULTAN KING ft KUNTA – WANANUNA | Download
Next articleNEW MUSIC | Blue – Pesa | Download