SNIPPET : Majembe – Mi Najua

Majembe ikiwa ni muunganiko wa members toka Vatoloco na Nako2Nako, BouNako pamoja na FidoVato, wanakupa kionjo cha “Mi Najua” itakayodrop Uraiani rasmi tarehe Tano mwezi huu wa Agosti 2013, Mdundo huu umeundiwa pande za noizmekah.com na vocal + mixing kumaliziwa pale pale kwa Dx aka defxtro, hii ni hardcore hiphop joint kwa ajili ya Mashabiki zetu wa dhati, Concious Joint yenye ujumbe wa kweli na chorus inayokupa mzuka wa Kubounce, pata kionjo HAPA huku tunasubiri utaratibu zaidi wa kupata ngoma kamili mtaani, kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na Majembe kupitia
+255 718 396 869
au +255 783 825 519
powered by www.vmgafrica.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *