NEW MUSIC | Kingkapita ft DJ kalito, Ryder – Kasema Poa| Download

ZAWADI
YA EID KWENU ….
KUTOKA CHAKA….MZIGO MPYAAA….UJIO MPYA KABISAA…HIT MAKER MZEE WA
MISEMO KUTOKA KUNATATIZO KWANI MPAKA NIGERIA NYIMBO IMEFANYWA NA STUDIO
MBILI KUBWA TANZANIA NA NIGERIA – KASEMA POA NDO JINA LA NYIMBO
AKISHIRIKIANA NA WA NIGERIA DJ MKUBWA NIGERIA NA NI ARTIST PIA AKIITWA
DJ KALITO NA MOJA YA MEMBER WA FUSE OG AKIITWA RYDER BOONGE LA NGOMA NA
CLUB BANGER SASA TUNAIMBA NA KUCHEZA WOTE KAMWAMBIENI YULE MTOTO MZURI
KASEMA POA YANII SHE SAY YEAHHHH…SIKILIZA HUU HAPA UKISHASIKILIZA
SHARE NA WENZAKO SUPPORT YENU NAOMBA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *