NEW MUSIC | GazaCross – Masoja | Download

Uncategorized
August 14, 2013 0 Comments
Share this post:
Kundi chipukizi toka MoshiTown,Gaza Cross na wimbo wao wa “MASOJA” mahadhi ya Dancehall/Kwaito wakiwakilisha vema muziki wa kaskazini Duniani kote,pata kuusikiliza HAPA ,kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na Gaza Cross kupitia +255 759 683 576 powered by www.vmgafrica.com
0:00
0:00