Mashairi Ya Wimbo Mpya Wa Young Killer – Mrs Super Star Yako Hapa.

Kila
mwanadamu anaupendo.
mwingne anawaza., vp
atampataje,amtakaye..
sio kwamba na act..no niko real…
japo msodoki ni
mdogo.,ila nauwezo waku feal…
fikra zangu zinani2ma nidate kwa maunda zoro.
najua ntaleta
jiras kwa brother.,banana zoro
xaxa vp ningekua na penny,.iv ntakua
free…
au kama ni ngekua na mwasit wa t.h.t..
ila penny na his diamond
atanisumbua.,
hata mwasiti najua pendo  langu ata livua…
kwanza long
time agoo.,
nishazimikaga na wema ila skendo za magazet daaa..
moyo wangu
ukamtema,…
nikachukia mapapalazi niakahis wameharibu bahat..
moyo wangu
nikauweka bondi..kwa chiku mwanaharakati…
ila wote 2nachana hatuta
dumu magetoni,..
nklipozimika na besta..marlow akapiga honi,..
madam Lita
na salama nikaogopa mcharuko wa b.s.s….
nimemove mpaka dar wolper ni
mchane face 2 face….
ila roho inakataa inaogopa waigizaji…
macho
yalisha2ua kwa frola h..baba akamuitaji…      
CHORS..BRIGHT & NE-MO..

Wapo weng nataman kuwa nao in my life..
muda mwingi natumia kuwaza nani atae nifaaa.
mrs super star nani ni mwite love..x2..
VERSE..2
Hiz hisia zangu..sidhan kama nakufuru…
akili inanituma niende sambamba
na lulu…
ila naogopa yasinitokee ya kanumba 
nikasukumwa nikafa wengne
wakang’oa mchumba..
ama ray c.. Nikimcheki machoni haish…
kile kiuno
bila mfupa kingenipikia mapish..
ila ghafla nikaogopa niliposikia ana
mchizi…
baada ya kuuliza ni nani..kumbe mnako lordyeä…
love kwa pipi
atanipa upendo wa kina…
au tuta achana njia panda kama amini na
linah…
kwenye love staki kukosea.,kua na mrembo mwene visa…
niwe na
teya.,au nimuache ni date kwa mona lisa….
nikadata na diva..ile sauti
ni soo…
ye ndo mgonjwa kwa raha zangu atanifia itakua soo…
sura ya
pesa aunt ezekiel..young xna hela..
vanesa mdee najua hawezi kush
kisela….
mara jokate kichwani akanitawala mpaka basi, 
nikajua ata
nikisema nahisi hatonipa nafasi…
namuomba mungu ili anipe jift..special
….
isingekua kizungu zungu basi…
ningekua na recho….
.CHORS.. BRIGHT & NE.MO
Wapo wengi natamani kuwa nao in my life..
muda mwingi natumia kuwaza nani atae nifaa..
mrs superstar nani nimwite love..:x 2
VERSE..3
Usiku silali.. usingizi
autokei…namuwaza johari…
ila ule ukaribu na ray….unanipa
wasiwasi…
na mi sitaki  nijute…
basi nikahamia kwa daina baada ya
kusema nimvute….
shilole naogopa…kumwambia yanayo nisibu,…
kwa
khadija nikakope kopa….
nije nimpe taratiibu…nahisi ataniadhibu
pedesheee…
wanafitina maana atahitaji matunzo chaa ajabu mi uwezo 
sinaa…nampenda uwoya mtoto wake ataniitajee.,..
kaka .,baba..ndikumana
atanionaje…
hizi hisia zangu wala siitaji aswali….mi napend. 
Kuitwa
babu bibi cheka ata kubali….

var vglnk = { api_url: ‘//api.viglink.com/api’, key: ‘a187ca0f52aa99eb8b5c172d5d93c05b’ };

var vglnk = { api_url: ‘//api.viglink.com/api’, key: ‘a187ca0f52aa99eb8b5c172d5d93c05b’ };

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *