ShahBang aka matejoo king anatarajia kuachia mzigo mwingine, “Uhai” alorekodi studio za noizmekah Productuions chini ya defxtro, ikiwa ni collabo aliofanya kwa kumshirikisha mwimbaji Jordan,Ngoma ni Hiphop ya kisasa yenye ladha za live Band, Hii ni track mojawapo kati ya nyingi kali ShahBang atakazodrop kwa Fans wake wa ukweli, Kwa sasa pata kionjo HAPA, Kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na Shah bang kupitia +255 756 604 440 powered bywww.vmgafrica.com