Download | Play Now

VIDEO | Diamond Platnumz & Ne-Yo Waonjesha Collabo Yao katika show ya JEMBEKA

Diamond
Platnumz anaingia kwenye headlines nyingine baada ya jana kufanya show
ya kukata na shoka katika JEMBEKA FESTIVAL iliyofanyika mjini Mwanza,
ambapo yeye pamoja na NE-YO walitambulisha nyimbo yao mpya ambayo inasemekana inayoitwa I WILL MARY YOU.

Hapana nimekuwekea kipande kifupi cha wimbo huo ambao waliutumbuiza jana:Download DJMwanga Android Application Click HERE

https://goo.gl/Dpx8j4
JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga