The AVENUE MAWAZO HURU S04 EP09 Idris Sultan

Tunaongea na kijana ambaye amepata zaidi ya milioni 550 za kibongo baada ya kushinda big brother Africa 2014, nini maoni yake kuhusu mafanikio?,je atasaidiaje vijana wengine bongo ambao bado hawajatoka? je yeye na Mh January Makamba ilikuwaje wakafanya birthday pamoja? hayo na mengine angalia hapa..kipindi kinaruka TBC 1 kila jmosi saa 3:30 usiku na marudio…