AUDIO | Uhuru – Ujumbe & Nembo ya Machungu

Ikiwa kazi zinazotambulisha ujio wa mixtape ya Mc Uhuru toka BombBlast Crew Arusha pamoja na project ya Tshirt zake, pata ngoma mbili kwa mpigo, “Ujumbe” pamoja na “Nembo ya Machungu” zilizopikiwa Bongo Records chini ya Q the Don download HAPA na kwa mawasiliano/Mahojiano kuhusu projects za Uhuru Na Bomb Blast kwa ujumla piga simu +255…