[NewZ] Wimbo mpya wa Ngwair ‘Alma’ kuachiwa rasmi siku ya Valentine mwaka huu, una story ya kweli

Ikiwa ni miezi nane imepita tangu afariki mkali wa mitindo huru, Albert Mangwea aka Ngwair, wimbo wake mpya alioupa jina la ‘Alma’ unatarajiwa kuachiwa rasmi February 14, 2014 ambayo ni siku maalum ya wapendanao (Valentine’s day). Akiongea na tovuti ya DJMwanga.com, Muro ambaye ni moja kati ya wasimamizi wa kazi za Albert Mangwea ambaye anaisimamia…