New AUDIO | KB – Binadamu | Download

Msanii  KB jina lake halisi ni Kulwa Bilal, ni msanii chipukizi anayefanya vizuri sana kwenye hiii industry ya Muziki Tanzania chini ya management ya Clarence_june22 Events, amejikita  haswa kwenye mziki wa bongo flavour  hivi karibuni  ametoa single  mpya inayoenda kwa jina la BINADAMUDOWNLOAD via HULKSHARE Download DJMwanga Android Application Click HERE JIUNGE NAMI KUPITIA  Twitter: @djmwanga     …

Official VIDEO | Seline[The Industry] – Njoo

Seline ni kati ya wasanii watatu waliotambulishwa Rasmi na The Industry iliyo chini ya Uongozi wa Nahreel akisaidiana na Aika Pia. Nyimbo inaitwa Njoo imetengenezwa The Industry by Producer Nahreel. Download DJMwanga Android Application Click HERE JIUNGE NAMI KUPITIA  Twitter: @djmwanga      Instagram: @djmwanga      Facebook Fans Page: DJMwanga