Ali Kiba Ft. M.I – AJE | Lyrics/Mashairi

[Verse 1 – Alikiba] Ucheshi na sauti Amenifanya nam-miss tu Mwambie asiogope Ali ni kipenzi cha watu Ntafanya party nyumbani Hiyo yote kwa ajili yake Tena asije peke yake Asiogope aje na wenzake Ntafanya party nyumbani Hiyo yote kwa ajili yake Tena asije peke yake Asiogope aje na rafiki zake eh [Chorus – Alikiba] Basi…

VIDEO | Diamond Platnumz & Ne-Yo Waonjesha Collabo Yao katika show ya JEMBEKA

Diamond Platnumz anaingia kwenye headlines nyingine baada ya jana kufanya show ya kukata na shoka katika JEMBEKA FESTIVAL iliyofanyika mjini Mwanza, ambapo yeye pamoja na NE-YO walitambulisha nyimbo yao mpya ambayo inasemekana inayoitwa I WILL MARY YOU. Hapana nimekuwekea kipande kifupi cha wimbo huo ambao waliutumbuiza jana:Download DJMwanga Android Application Click HERE JIUNGE NAMI KUPITIA  Twitter: @djmwanga   …