AliKiba Ameamua Kuwapa Mashabiki Zake Haki Yao.

Baada ya kuvuja kwa ngoma ya #AJE ambayo sauti ya rapa mnigeria MI ilisikika Alikiba aliamua kutoa ngoma hiyo Rasmi ikiwa haina sauti ya rapa huyo kwa sababu ambazo alisema ni kuingiliana kwa ratiba zake na M.I . Kwa mujibu wa Kiba ni kuwa wimbo uliovuja ulikuwa Demo (maana yake haujakamilika kufanyiwa mixingi, mastering n.k) Hata hivyo mashabiki bado waliendelea kuupenda na kuwa nao katika simu…