AUDIO | Mbosso – Tena | Download

Baada ya mafanikio ya nyimbo zake mbili za kwanza, “Pawa” na “Nusu Saa”, msanii mwenye sauti tamu na uandishi wa kipekee, Mbooso, anarudi na ngoma ya tatu kutoka kwenye EP yake mpya ya nyimbo 7, chini ya lebo ya KhanMusic. Ngoma hii mpya inaitwa “Tena”, na imebeba maumivu, msimamo, na uamuzi mgumu wa mapenzi. Kwa … Continue reading AUDIO | Mbosso – Tena | Download