Home Uncategorized Je wewe ni msanii na hauna pesa ya kurekodia?

Je wewe ni msanii na hauna pesa ya kurekodia?

Je wewe ni msanii na hauna pesa ya kurekodia?
kama unakipaji kizuri cha kuimba na kutunga Sampamba Music inakupa nafasi wewe msanii au muimbaji wa Bongo flava na Gospel na kukusaidia kurecord bule kabisa katika studio ya Sampamba Music iliyopo nchini Tanzania Inayojulikana kwa jina la Sampamba Music [S.M.G]
wahi sasa ili upate form kwaajili ya kupata maelekezo nini cha kufanya. 
kumbuka ni kwa waimbaji wa kidunia [bongo flava] na Gospel,usichelewe ili upane nafasi hii ya ndoto yako,na haijalishi wewe unauwezo wa kifedha au hauna tunachokiangalia toka kwako ni kipaji chako,,,Ili upate form piga sim no 0716469630 au 0763231052
Sampamba music tunatambua umuhimu wa kipaji chako!
Kipaji chako ndio mafanikio yako…Usiogope amua sasa!

https://goo.gl/Dpx8j4
JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga
Previous articleNew AUDIO | Pazzo – Sweet Model | Download
Next articleNew AUDIO | Roma Ft. Geof Master – IVAN | Download