Video: Msanii wa India atumia BEAT ya nyimbo ya Dully Sykes katika...

Video: Msanii wa India atumia BEAT ya nyimbo ya Dully Sykes katika wimbo wake

SHARE
64841-cccc

Hii ni nyimbo iliyofanywa na Dully Sykes pamoja akiwashirikisha Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz, beat ya nyimbo hiyo imetumiwa na Msanii wa kihindi na nyimbo yenyewe inaitwa Aana Voona Darling, hebu icheki hapa chini:
[youtube https://www.youtube.com/watch?v=Z3wE645VStE]

Beat ya nyimbo hiyo hapo juu ni sawa kabisa na beat ya nyimbo ya Dully Sykes inayoitwa UTAMU aliyowashirikisha Diamond Platnumz pamoja na Ommy Dimpoz, Nyimbo ya Dully Iko hapa Chini:
[youtube https://www.youtube.com/watch?v=HgbeloMU9ck]

JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

Comments

comments

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY