Jina Langu Halipotei Album Launching Party Promo Video – Tdx Wangex

SHARE
Uzinduzi wa Album Ya TDX ‘Jina langu Halipotei’ Utafanyika Tarehe 20/12/2015 pale Club 71 Tegeta Kibaoni, kwa Kiingilio cha Tsh 7000 Utaweza kupata burudani kutoka kwa Wasanii kibao kama, Linex, Kala Jeremiah , Becka Ttile, Chindo Man, P THe Mc, na wengine kibao. Pia kutakuwa na mauzo ya hapo kwa hapo yanayojumuisha Cd na T-Shirt za Jina Langu Halipotei

CD Zinapatikana kwa Bei ya Tsh 5000/=
Tickets zinapatikana kwa Tsh 7000/=
T-shirt zinapatikana kwa Tsh 20000/=


[youtube https://www.youtube.com/watch?v=x4iLYvo0yCM]

http://old.hulkshare.com/dl/re9kad8mxbeo/Tdx_Wangex_Feat_Ibra_Dah_Hustler_-_Jina_Langu_Halipotei.mp3?d=1

http://www.hulkshare.com/hsPlayer/embed/embed_clean.php?fn=re9kad8mxbeo&enableDownload=1&enableCover=1&enableAdd=false&bg=undefined&fg=undefined&iconColor=undefined&backColor=undefined&outColor=undefined&overColor=undefined&textColor=undefined&tintColor=undefined&pid=&type=7&width=100%

JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

Comments

comments

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY