AUDIO | Wazazi Wangu – Langa Ft. Sanaipei | Download/Listen

SHARE

Download hapa wimbo mpya kutoka kwa Langa “Wazazi Wangu” akimshirikisha Sanaipei kutoka Kenya. Wimbo huu ni wimbo wa tatu kati ya nyimbo saba kuachiwa katika albam yake baada ya “Matawi Ya Juu” na “Hip Hop”, album iliyotengenezwa na Producer Tedd Josiah kutoka nchini Kenya.
Enjoy!!!

Comments

comments