New AUDIO | Nazizi – OVER YOU | Download

New AUDIO | Nazizi – OVER YOU | Download

SHARE

Wimbo mpya kutoka Super star wa Reggae, Ragga na Dancehall kutoka nchini Kenya – Nazizi. Wimbo unaitwa OVER YOU na umeandaliwa na Producer SAPPY. Wimbo huu umetoka kwenye E.P. ya Nazizi iitwayo EVO LLUSION ambayo imetoka chini ya label ya Lovechild records.

https://mkito.com/song/over-you/11282/bwi-1-23212

https://mkito.com/frames/?wid=23212&bid=1Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

Comments

comments

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY