New AUDIO | ANGEL BENARD – NEW DAY | Download

New AUDIO[3] | ANGEL BENARD – NEW DAY | Download

SHARE
Wimbo wa 3 kutoka kwenye album NEW DAY ya Angel Benard, wimbo huu New day ndiyo unabeba jina la album. Katika huu wimbo siku ya jana inawakilisha “mambo yaliyopita” inaweza kuwa ni mtu, vitu, hali fulani n.k. Tunaiaga kwaheri na kukubali kuendelea na maisha yaliyopo mbele yetu. Hakuna kurudi nyuma.

https://twitter.com/AngelBenard

https://mkito.com/song/new-day/3250/bwi-1-2389

https://mkito.com/frames/?wid=2389&bid=1

Comments

comments